MAHAKAMA YA MKOA VUGA KUMFIKISHWA TENA KIRINGO MAHAKAMANI

Mahakama ya mkoa vuga imemrejesha rumande hadi tarehe 26 huu mtuhumiwa hassan aboud talib kiringo baada ya kufikishwa tena mahakamani.

Habari kutoka mahakamani zinasema kwamba mahakama hiyo inasubiri uamuzi wa mahakama kuu juu ya suala la kumpatia dhamana.