MAHAKIMU WAMETAKIWA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI

 

Mawakili na mahakimu  wametakiwa kuunga mkono jitihada za serikali za kuwasaidia wananchi masikini kupata haki zao za kisheria.