MAHARAMIA WA SOMALIA WATEKA NYARA MELI YA MIZIGO

 

meli moja ya mizigo yenye bendera ya sri-lanka imetekwa nyara katika pwani ya somalia .

msemaji wa jeshi la wanamaji wa muungano wa bara ulaya linaloendesha operesheni zake dhidi ya maharamia katika eneo hilo amesema kuwa ni mapema   kuthibtisha utekaji huo.

iwapo tukio hilo litathibitishwa huo utakuwa utekaji nyara wa kwanza wa meli ya kibiashara na maharamia wa somalia tangu 2012.