MAHMOUD AMEKABIDHI ZAWADI PAMOJA NA PESA KWA WASHINDI WA RAPA

 

Mkuu wa mkoa wa mjini magharibi ayoub mohammed Mahmoud  amekabidhi  zawadi pamoja na pesa kwa

Washindi wa rapa na kusema ataendelea kutoa Msaada kwa makundi mbali mbali ya kijamii ili yaweze

Kutumia vyema fursa  zinazojitokeza katika mkoa huo.