MALEZI YA WATOTO YATIMA YANATAKIWA YAFANYIWE KAZI KWA USAHIHI

 

katika jumuiya shura ya maendeleo ya waislam zanzibar  ikiwa ni utaratibu wa jumuiya hiyo kwa kila kipindi cha ramadhani  kuelekea skukuu.

Akikabidhi misaada hiyo kwa watoto hao  katibu wa mufti zanzibar sheikh fadhil soraga  amesema kuwa  malezi ya watoto yatima yanatakiwa yafanyiwe kazi  kwa usahihi kama alivyoelekeza mtume  [s.a.w] kwani ni mfano bora  unaotakiwa  kuigwa na uislam sambamba na kupatiwa  haki zote stahiki.

Soraga pia amezipongeza baadhi ya jumiya hizo  zinazoendeleza nguvu zao kwa   mayatima  nakuzitaka  jumuiya  nyengine  kuwacha  udanganyifu  kwa  kuwatumia  watoto  hao  na  sadaka  kutofikishwa  kwa  walengwa  na kuishiwa  mikononi  mwao

Nae  katibu  wa  jumuiya ya  shura  juma  khamisi  amesema  anawashukuru  wato  wote  walio  jitolea  kutoa  misaada  yao  pia  na  kuwataka  kuwasaidia  mayatima  katika  majumuiya yote  hapa  nchi  kwa  lengoo la  kuwapa  maisha  bora  mayatima  wote.

Nao wazazi   na  walezi pamoja  na  mayatima  wakiishukuru  jumuiya  hiyo  kwa  msaada  wao  wanao wapa  pia  na kuwaomba  wengine  wasichoke  kuwasidia