MASHINDANO YA VIJANA YA RIADHA YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI

 

Timu ya taifa ya riadha zanzibar chini ya umri wa miaka 18 inajiandaa na mashindano ya vijana ya riadha ya afrika mashariki na kati yanayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi june jijini dar e salam.