MENEJA WA HOTEL KUSHIRIKIANA NA SMZ ILI KUHAKIKISHA UTALII UNAIMARIKA

 

Katika kukuza utalii nchini meneja wa hotel ya part hyat amesema ataendelea kushirikiana na smz ili kuhakikisha utalii unaimarika na pia kutoa  mafunzo kwa vijanaAkizungumza katika hafla ya kujitambulisha meneja mpya wa hotel park hyati zanzibar bw,nicolas cedro  hoteli hiyo imejijengea umaarufu mkubwa duniani katika ubora wa huduma zake za kitalii.

Aidha amesema katika,kusaidia vijana wenye vipaji vya mapishi hoteli hiyo iliyotimiza miaka mitatu tokea kuanzishwa kwake itaendelea kushirikiana na skuli mbali mbali za zanzibar ambazo zinatoa elimu ya mapishi.Meneja huyo amefahamisha kuwa elimu hiyo uitawaeza kuwasaidia vijana kujiendeleza katika fani ya mapishi na kuweza kuwasaidia katika njia ya kujiunua kiuchumi .