MH. Dk. JOHN POMBE MAGUFULI AMEWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI

Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania mh. Dk. John pombe magufuli amewaapisha mawaziri na manaibu mawaziri pamoja na katibu wa bunge aliowateuwa baada ya kufanya mabadiliko katika baraza la mawaziri