MIKE PENCA AMESEMA NCHI HIYO HAITAKUWA NA UVUMULIVU NA KOREA KASKAZINI

 

 

Makamu wa rais wa marekani mike pence amesema nchi hiyo haitakuwa na uvumulivu tena na korea kaskazini

pence amesema hayo alipotembelea eneo lisililoruhusiwa kuwa na wanajeshi katika mpaka wa korea kaskazini na korea kusini ikiwa saa chache baada ya korea kaskazini kutekeleza jaribio la kurusha kombora lililokuwa halijafanikiwa.

Tayari marekani na korea kusini zimeanzisha mazoezi ya pamoja ya majeshi yake ya wanaanga ikiwa ni ishara kuwa wanajeshi wao wako tayari kwa tishio lolote kutoka kwa korea kaskazini.