MIRADI MIPYA YA UJENZI WA BARABARA ZA MAENEO MBALIMBALI

Wizara ya ujenzi, mawasilino na usafirishaji imekusudia kuanza mradi mipya ya ujenzi wa barabara za maeneo mbalimbali zinazofikia kilomita 94.6.
Barabara hizo ni za bububu mahonda yenye kilomita 31barabara ya wete chake kilomita 22 na ujenzi wa barabara ya ole kengeja kilomita 35 na barabara ya koani jWizara ya ujenzi, mawasilino na usafirishaji imekusudia kuanza mradi mipya ya ujenzi wa barabara za maeneo mbalimbali zinazofikia kilomita 94.6.
Barabara hizo ni za bububu mahonda yenye kilomita 31barabara ya wete chake kilomita 22 na ujenzi wa barabara ya ole kengeja kilomita 35 na barabara ya koani jumbi kilomita 6.3
Akiwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2017/2018 waziri wa wizara hiyo mh ali abeid karoume amesema pamoja na matengenezo hayo pia inatarajia kuifanyia matengenezo ya barabara zote zilizoharibika na mvua za hivi karibuni ikiwemo ya kibonde mzungu pamoja na kuyafanyia matengenezo madaraja.
Amesema matengenezo hayo yanalenga kuimarisha huduma za usafiri ili kuwaondoshea usumbufu wananchi.
Aidha amesema pia wizara inakusudia kununua meli ya mafuta ya abiria na mizigoambapo jumla ya shilingi bilioni ishirini zimetengwa kufanikisha kazi hiyo.
Katika sekta ya mawasiliano wizara hiyo pia inakusudia kukamilisha sheria ya teknolijia ya habari na mawasiliano(tehama)na kuimarisha mawasiliano kwa wilaya zote kumi na kutoa elimu ya kuhamasisha matumizi ya teknolojia hiyo.
Nayo kamati ya ardhi na mawasiliano imeelezea kutoridhishwa na ucheleweshwaji wa ujenzi wa eneo la abiria katika uwanja wa ndege na kuiyomba wizara hiyo kukamilisha ujenzi huo hasa ukizingatia mahitaji ya ongezeko la watalii wanao ingia nchini siku hadi siku.
Nao wajumbe wa baraza la wawakilishi wakichangia bajeti hiyo ya wizara ya mawasiliano wamelezea umuhimu wa ujenzi wa miundo mbinu ya barabara jumbi kilomita 6.3
Akiwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2017/2018 waziri wa wizara hiyo mh ali abeid karoume amesema pamoja na matengenezo hayo pia inatarajia kuifanyia matengenezo ya barabara zote zilizoharibika na mvua za hivi karibuni ikiwemo ya kibonde mzungu pamoja na kuyafanyia matengenezo madaraja.
Amesema matengenezo hayo yanalenga kuimarisha huduma za usafiri ili kuwaondoshea usumbufu wananchi.
Aidha amesema pia wizara inakusudia kununua meli ya mafuta ya abiria na mizigoambapo jumla ya shilingi bilioni ishirini zimetengwa kufanikisha kazi hiyo.
Katika sekta ya mawasiliano wizara hiyo pia inakusudia kukamilisha sheria ya teknolijia ya habari na mawasiliano(tehama)na kuimarisha mawasiliano kwa wilaya zote kumi na kutoa elimu ya kuhamasisha matumizi ya teknolojia hiyo.
Nayo kamati ya ardhi na mawasiliano imeelezea kutoridhishwa na ucheleweshwaji wa ujenzi wa eneo la abiria katika uwanja wa ndege na kuiyomba wizara hiyo kukamilisha ujenzi huo hasa ukizingatia mahitaji ya ongezeko la watalii wanao ingia nchini siku hadi siku.
Nao wajumbe wa baraza la wawakilishi wakichangia bajeti hiyo ya wizara ya mawasiliano wamelezea umuhimu wa ujenzi wa miundo mbinu ya barabara .