MJI MKONGWE ZANZIBAR KUDHIBITI UWINGIAJI WA VYOMBO VYA USAFIRI KIHOLELA

 

Mamlaka ya mji mkongwe zanzibar   ipo katka hatua ya kudhibiti uwingiaji wa vyombo vya usafiri kiholela katika eneo la mji huo ili kudhibiti uharibifu bao hupoteza haiba na dhana nzima ya mji mkongwe

Akizungumza na wadau mbalimbali mkurugezi  wa amlaka ya mji mkongwe issa  makarani amesema kutokana na kuwepo kwa uwingiaji holela wa magari yenye uzito mkubwa ndani ya mji mkongwe kusababisha msongamano mkubwa wa magari na uharibifu wa mazingira mamlaka kwa kushirikiana na wadau wengine wameamua kuandaa mikakati ya kudhibiti hali hiyo kisheria.

Mwandamizi wa polisi assp ramadhani mohammed wamewatka wananchi kufata sheria na taratitibu zitakazo wekwa juu ya utumiaji wa njia ya mji mkongwe kwa kutumia vyombo vya moto kutokana n jeshi la polisi kuwachukulia hatua za kisheria wtakao funya taratibu uliwekwa

Nae sheha wa shehia ya mnazi mmoja mohammed juma amesisitiza wananchi kukubaliana na hali hiyo ili kuuweka na kuuimarisha mji mkomgwe kwani ni urithi wa dunia