MKOA WA MJINI KUWACHUKULIA HATUA WANAOZIDISHA BEI ZA BIDHAA MWENZI MTUKUFU

 

Uwongozi wa mkoa wa mjini magharib umesema utahakikisha  kuwachukulia hataua wafanyabiashara wanaozidisha bei za bidhaa wakati wa mwenzi mtukufu wa ramadhani

Mkuu wa mkoa mjini magharib amesema  inafaamika wazi kuwa baadhi ya waafanyabiashara wanatabia ya kupandhisha bei kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani kwa maslahi yao binafsi

hivyo atahakikisha anatembelea maeneo yote ya biashara na kuwachukulia hatua za kisheria wale wote watakaobainika wanafanya kwa kuutumia mwezi huo kuwa ni mwezi wa kuchuma.

Ametumia fursa hiyo kwa kuwaomba wafanyabiashara kutoa ushirikiano kati yao na uwongozi wa mkoa katika kuhakikisha wanachi wanapata mahitaji yao  ipasavyo katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani