MKURUGENZI MKUU WA TMF ITAHESHIMIKA SEKTA YA HABARIWATAJIWEKEA MALENGO YA KUFANYA KAZI ZAO.

Mkurugenzi Mkuu wa  Mfuko wa vyombo vya habari tanzania TMF Ernest Sungura  amesema hadhi ya sekta ya habari nchini itaheshimika na kuaminika zaidi endapo wanahabari wenyewe watajiwekea malengo ya kufanya kazi zao.

amesema mfumo huo utaibua changamoto zinazokwaza jamii na kuzipa nguvu za uwajibikaji taasisi za umma na binafsi katika kuwahudumia kwa umakini wananchi.