MKUU WA WILAYA MAGHARIBI A AMEKEMEA BADHI YA WANANHCI KUCHUKUA SHERI MIKONONI MWAO

Mkuu wa wilaya Magharibi a  Mwinyi Ussi Makame amekemea badhi ya wananhci kuchukua sheri  mikononi mwao kwa kuwajeruh watu jambo ambalo kinyume na taratibu na sheria.

akizungumza wakati alipomtembelea kijana ambae aliyejeruhiwa kwa kupingwa mapanga wiki hii wakati wa ziara ya kamati ya Ulinzi na Usalama ya Magharibi ‘A’ amesema serikali inaalani vitendo vya wananchi kuchuka hatua mikononi na kusitishwa na tukio alifanyiwa kijana huyo.

aidha ametoa pole kwa familia ya kijana Khamisi Mgaya Juma aliyepatwa na mkasa huo na kutoa wito kwa jamii kutoa ushirikiano kuripoti matukutio yoyote ambayo hayakubaliki katika jamii.

Baba mzazi wa Mgonjwa huyo amesema amesitikishwa na tukio hilo kwa mwanae kuiomba serikali kuwachuliwa hatua kazi ili kudhibiti matatizo kama hayo yasiweze kujirejea.

mkuu wa upelelezi wa Magharibi ‘A’osd Yussuf Daniel         amesema atahakikisha jeshi la polisi linawachukulia hatua kali wale wote waliohusika ili kudhibiti vitendo kama hivyo. mwisho.