MPANGO WA UFUGAJI WA PWEZA KATIKA MAENEO YA BAHARI

Wizara ya kilimo maliasili mifugo na uvuvi kupitia mradi wa wa ufugaji wa samaki umeandaa mpango wa ufugaji wa pweza katika maeneo ya bahri y tumbatu ,mtende na kiwengw mwezi ujao ikiw ni hatua ya kukuza uchumi.