MSAADA KWA WATU WALIOADHIRIKA NA MAAFA YALIYOTOKANA NA MVUA ZA MASIKA .

 

 

Waziri wa nchi ofisi ya rais makamo  wapili wa rais mh muhamed aboud  amepokea msaada wa vya kula  na   mafuta y a kupikia katika kampuni ya huawei kwa ajili ya watu walioadhirika na maafa yaliyotokana na mvua  za masika .

akipokea msaada huo mh muhamad abuoa kwa mkurugenzi  wa kampuni ya huawei amesema anaishukuru kampuni hiyo kwa kutoa msaada huo  wa vyakula vikiwemo pakti za unga wa ngano vigunia mia moja na sitini  mafuta ya kupikiachupa mia moja na hamsini  kwenye boxpasmoja na paketi za vigunia vya mchele mia moja na sitini .

mh waziri amesema anashukuru sana msaada huouliotolewana kutoa wito kwa watu wengine kujitokeza kusaidia watu walioathirika na maafa yaliyotokea wakati wa mvua.

Mkurugenzi wa campuni hiyo ya china  bwana zahor zhao  amesema ataendelea kutoa misaada kwa serikali ya mapinduzi ya nzanzi pale wanapohitaji kwa kuimarisha udugu wao wa muda mrefu.

mkurugenzi mtendaji kamisheni ya kukabiliana na maafamakame khatibu amesema msaada huo uliotole wa na kampuni hiyo ya china utawafikiwa walengwa waliokusudiwa walioadhirika na maafa hayo.