MSHIKAMANO KATIKA MKUSANYIKO WA WAISLAMU HUSAIDIA KUONDOA MIFARAKANO

 

Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema mshikamano katika mkusanyiko wa waislamu husaidia kuondoa mifarakano na kuweko baraka miongoni mwao.

Amesema vitabu na miongozo ya dini imeelekeza na kusisitiza umuhimu wa waumini kushikamana ili lengo la kumuabudu mwenyezi mungu liweze kufikiwa.