NDEGE YA ETHIOPIAN AIRLIN IMEWASILI ZANZIBAR INA UWEZO WA KUCHUKUA ABIRIA 325

 

 

ndege  ya  pili  ya  shirika  la  ndege  la  ethiopia imewasili  katika  uwanja  wa  ndege  wa  kimataifa

wa  zanzibar  ikiwa  na  uwezo  wa  kuchukua  abiria mia  tatu  na  ishirini  na  tano.