ONGEZEKO KUBWA LA MARADHI YASIO AMBUKIZIKA HAPA ZANZIBAR

 

 

Amesema kutokuwepo kwa mfumo mzuri wa utumia wa vyakula kwa jamii kunapelekea kuongezeka kwa maradhi hayo siku hadi siku ambapo takwimu za mwaka 2011 zimeleza kuwa kumekuwa na ongezeko la asilimia 83 ya watu wenye maradhi ya presha hapa zanzibar.

Mratibu wa jumuiya hiyo zuhura salehe amewata wanafunzi kujikinga na vihatarishi vinavyosabaisha  kupatikana kwa  maradhi hasio ambukizika ikiwemo utumaji wa tumbatuku ambapo asilimia  kubwa ya vijana wamekuwa wakitumia tumbaku.

Nae rais wa mtandao wa kimataifa wa wanafunzi wa zanzibar bakari juma bakari amesema mafunzo waliyoyapata yataweza kuwasaidia na kuweza kuelimisha wezazo hali ya maradhi hayo hivi sasa kwa hapa zanzibar.

Akifungua mafunzo hayo afisa kitengo cha maradhi yasio ambukilika omari abdalla amesema zanzibar hivi sasa iko hatarini kuwepo kwa wagonjwa wengi wenye maradhi yasio ambukizika kutoka na jamii kutokubali kubadili tabia na kufanya mazoezi pamoja na kuweka mfomo mzuri wa chakula.