RAIS TRUMP ACHUKIZWA NA TUHUMA ZA COMEY

Rais trump pamoja na timu yake wamejibu tuhuma zilizotolewa na aliyekuwa mkurugenzi wa fbi james comey, kuwa rais trump alimtaka kuacha kumchunguza mshauri wa zamani wa masuala ya usalama na urusi.
Comey alihojiwa na kamati ya bunge la seneti ya usalama na kumtupia lawama rais trump kwa kuingilia uchuguzi unamhusu kujihusisha na urusi.
Comey katika ushaidi alioutoa alieleza namna ambavyo rais trump kumtaka kuachana na uchunguzi huo.