RAIS WA UFARANSA KUZUNGUMZIA KUUNDWA KIKOSI CHA KANDA KITAKACHO PAMBANA NA WANAMGAMBO.

Rais wa ufaransa emmanuel macro anazuru nchini mali kuzungumzia kuundwa kikosi cha kanda kitakacho pambana na wanamgambo.
Akiwa nchini humo amesema ufaransa na nchi tano ikiwemo, mali, burkina faso, chad, mauritania na niger, zinatakiwa kufanya kazi pamoja kuwaangamiza magaidi.
Hata hivyo akiwa katika ziara hiyo kikundi cha mtandao wa al-qaeda nchini mali, kimetoa kanda ya video cha mateka 6 akiwemo mfanyakazi mmoja wa shirika lisislo la serikali na daktari mmoja raia wa australia.