RAMADHAN SHAABAN CHANDE (MZEE NYALILI) AMEFARIKI DUNIA

 

 

Msanii wa maigizo aliekuwa kwenye kundi la nyota vedio production jangombe ramadhan shaaban chande  (mzee nyalili)   amefariki dunia  jana jiji dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Kiongozi wa kundi hilo muhsin salum umaarufu mr moody  amesema amepokea taarifa za kifo chake  jana  jioni  kutoka kwa familia yake na kusema kuwa taarifa hiyo  waimeipokea  kwa masikitiko makubwa kwani  mzee nyalili ametoa mchango mkubwa katika kuendeleza tasnia ya sanaa hapa nchini..

Akizungumza na zbc mr moody amesema mzee nyalli watamkubuka sana kwani alikuwa mzoefu katika masuala ya uigizaji ambapo vijana wengi wamejifunza kupitia kwake