REAL MADRID YATINGA HATUWA YA ROBO FAINALI

 

 

 

 

 

Real  Madrid  yatinga  hatuwa  ya  robo  fainali  baada  ya  kutembeza  kichapo  cha  mabao  mawili  kwa  moja  dhidi  ya  Psg mshmbuliaji  wa  real  amekamilisha   magoli  kumi  na  mbili  katika  michuano  ya klab  bingwa  barani  ulaya  bao  la  pili  Real  Madrid  limefungwa  na Casemiro  bao  la  PSG  likipachikwa  na  Edinson Cavani. PSG walimaliza  mchezo  huo  wakiwa  pungufu  baada  ya  Marco  Veratti  kuonyesha kadi  nyekundu ,Real  wamefanikiwa  kusonga  mbele  hatuwa  nyengine. Mchezo  mwengine  Liverpool imetoka  sare  ya  bila  ya  kufungana   dhidi  ya  Fc  Porto,Majogoo  hao  wa  wameweza kutinga  hatuwa  ya  robo  fainali  kwa  ushindi  wa  kwanza  wa  mabao  matano  kwa   bila, golikipa  mkongwe  wa  Fc  Porto  ameweka  rekodi  kuwa  kipa  wa  kwanza  kucheza  na  Liverpool  bila  kufungwa katika  michuano  hiyo.

Rekodi zinawabeba Tottenham  mechi ya kwanza ugenini walitoka sare ya mabao 2 kwa 2 na rekodi inaonesha 83% ya timu zilizotoka sare ya 2-2 ugenini zilifanikiwa kufudhu kwa hatua inayofuata ya klab  bibwa  baran  ulaya. Tottenham wanaelekea katika mchezo huu wakiwa bado hawajaonja machungu ya kipigo Katika misimu mitatu iliyopita ya Juventus wamefanikiwa kuingia fainali ya klab  bingwa  wamewahi kufika robo fainali ya michuano hiyo mara moja(2010/2011).Uwanja wa Wembley ni uwanja rafiki zaidi kwa Tottenham kwa sasa kwani katika michezo yao minne ya mwisho katika uwanja huo Spurs wamefanikiwa kushinda yote wakifunga mabao 3 kila mchezo.

Juve haogopi ugenini, michezo yao 7 ya mwisho ugenini wameshinda 3 wakasuluhu 3 na kufungwa mmoja na michezo yao ya mwisho mitatu ya ugenini wamecheza bila kuruhusu wavu wao kufungwa.

Basel  leo hii  wanaingia  uwanjani  wakiwa  wanarekodi  mbaya  ya  kupotweza mbele ya City  kwa rekodi ya  kipigo  cha  mabao  manne  kwa  bila  na  katika  michuano  hiyo ya Champions League hakuna timu ambayo ilifungwa bao 4 kwa bila katika hatua kama hii halafu kufanikiwa kupindua mabao hayo na kufudhu kwa hatua inayofuata ya michuano hiyo.

Cha kutisha zaidi kwa Basel juu wenyeji  wao  Man City hakuna timu ambayo imewahi kuwafunga katika mechi zao 12 za mwisho Etihad katika Champions League huku michezo yao minne ya mwisho wakishinda yote.