SEREKALI INAANDAA MPANGO WA KUWAWEZESHA WAKALA WA UCHAPAJI

 

Serekali ya mapinduzi ya zanzibar  imesema  inaandaa  mpango mkakati wa kuwawezesha  wakala  wa  uchapaji  kingia katika soko la ushindani  na kuweza kujitegemea  wenyewe.Akimkabidhi   ofisi   ya uchapaji  waziri wa nchi ofisi ya makamo wa pili wa  rais mh muhamed maboud mohammed  kwa waziri wa habari  utalii na mambo  ya kale mh mahmoud thabit  kombo amesema  ili wananchi waweze  kupata mahitaji yanayo stahiki ni lazima  bidhaa zinazo zalishwa ziendae na soko.

Aidha mh mahmoud  amemsisi tiza waziri mahmoud kuhakikisha  wizara za serekali na  idara   zake  zote  kuhakikisha kuwa  wizara zote na idara  za serekali wana  chapisha  machapisho  yake  katika idara hiyo  kulipa madeni kwa  kila  seta muda unao faa.Nae waziri wa habari  utalii na mambo ya kale mh mahmoud  thabit kombo  ameahidi kuyashuhulikia  baadhi ya changamoto zilizomo katika  iadar ya wakala wa uchapaji na kusisitiza kufanya kazi kwa mashirikiani  ndio yatakayo leta  hija.Wakala wa uchapaji imehamishishiwa katika  wizara ya  habari utalii  na mambo ya kale  ambapo awali ilikuepo katika  osisi ya  makamo  wapili wa rais wa zanzibar