SERIKALI ITAENDELEA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO

Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania .Dk. John magufuli, amesema serikali itaendelea .Kukabiliana na changamoto mbali mbali zinazoikabili Hospitali ya taifa ya muhimbili.