SERIKALI KUIMARISHA MFUMO WA ULINZI KATIKA UKANDA WA BAHARI

 

 

Serikali   inakusudia   kuimarisha   mfumo  wa  ulinzi   katika   ukanda  wa    bahari    baada  ya  kugundulika   vyombo   vingi  vya   baharini   vya  ndani   na    nje  ya  nchi  vinavyofanya  kazi   bila ya  kuwa   na  usajili  na   vibali   vya  kisheria.

Hali hiyo imedaiwa kusababisha uharibifu wa rasilimali za bahari pamoja na ukosefu wa mapato kwa wanaojishughulisha na shughuli za uvuvi.

Waziri  wa  kilimo   maliasili  ,mifugo   na  uvuvi   hamadi  rashid  baada  ya    kushiriki   kazi  ya   ukaguzi  wa  vyombo    na  mazingira  ya  bahari  katika  visiwa   vya   utalii    na   kugundua  upotevu  wa mapato kutokana   na  kukusekana  kwa  ulinzi  w a   uhakika.

Msimamizi  mkuu wa kisiwa cha chumbe nd omar   nyange

Amesema bado wavuvi wamekuwa wakaidi katika kufuata sheria za kutumia hifadhi hiyo licha ya jitihada wanazozitoa za kutoa elimu   mara kwa mara katika kuwaelimisha  wavuvi juu ya umuhimu wa matumizi ya matumbawe

Ukaguzi    huo    ummeigundua    meli    moja  kutoka  afrika  ya   kusini  ikwa  katika   kisiwa  kwale    na  kuiamuru   kuondoka   mara  moja  pamoja   na   pikipiki   za   baharini  zinazotembeza  watalii   bila   ya  kibali  katika   kisiwa    hicho  zinazomilikiwa   na    wazalendo  bila   ya   kuwa  na    usajili  .