SERIKALI KUVUNJA MAJENGO YALIYOJENGWA BILA YA KUZINGATIA SHERIA

 

 

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema katika kunusuru maafa mbalimbali serikali italazimika kuvunja majengo yaliyojengwa bila ya kuzingatia sheria za ujenzi hasa maeneo hatarishi.

amesema baadhi ya nyumba zisizozingatia mfumo wa mipango miji, mamlaka zinazosimamia ujenzi zitalazimika kuchukuwa hatua zinazofaa.