SERIKALI KUWAONDOLEA MZIGO WA KODI WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO

Serikali ya mapinduzi ya zanzibar imekusudia kuondolea mzigo wa kodi wafanyabiashara wadogo wadogo kwa kulipa kodi kwa bodi ya mapato kwa zanzibar badala ya kulipa kodi mbili kama ilivyokuwepo hapo awali.
Waziri wa fedha na mipango dk Khalid Mohamed alisema hayo wakati akiwasilisha msaada wa mswaada wa dharura ya usimamizi wa ushuru wa stempu.
amesema kuondoshwa kwa kodi hiyo kutaweza kuwaondolea kilio cha muda mrefu wafanyabishara cha kulipa kodi mara mbili.
Akiwasilisha maoni ya kamati ya bajeti ya baraza la wawakilishi kwa niaba ya mwenyekiti mhe zulfa mmaka wameishauri serikali kuwanngalia uwezekano kwa wafanyabisha wadogo kulipa kodi kila baada ya miezi mitatu baadala ya kulipia kila mwezi kama ilivyo hivi sasa.
wakichangia mswaada huo wajumbe wa baraza la wakilishi wameiyomba serikali kuwasimamia vyema wafanyabisha ili upunguja wa kodi hiyo uwendane na bidhaa wanazoziuza ili kuwaondoshea mzingo wananchi.
Hata hivyo wajumbe wa baraza la wawakilishi wameupitisha mswaada ushuru wa bidhaa na huduma kwa bidhaa