SERIKALI KUWASAIDIA WALIOPATA MAAFA YA MVUA

 

Naibu waziri wa kazi ,uwezeshaji , wazee ,vijana wanawake na watoto mh shadya mohamed suleiman  amesema serikali  inaendelea  mipango ya  kuwasaidia wananch waliopatwa na maafa ya mvua.

Mh shadya ameyasema hayo wakati akiyatembela  maeneo yaliathirika  na maafa hayo pamoja na kuzifariji kaya  zilizo athirika katika  maeneo ya  kwachangawe ,mbuyuni katika wilaya ya mkoani na , kipapo na sompia wilaya ya chake chake.

Nao  badhi ya waathirka  hao  wamesema  hali hiyo  imewaathiri  kwa kiasi kikubwa kwani mbali na kuathirika nyumba zao pia   wamepoteza vitu vingi vya thamani  kama vile mafriji, mafriza  . Tv na mambo mengine .