SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUFANYA TATHMINI YA MAAFA

Serikali ya mapinduzi ya zanzibar imesema inaendelea kufanya tathmini ya maafa yaliyowapata wananchi baada ya nyumba zao kuanguka na kukosa makaazi ya kuishi katika maeneo mbalimbali kisiwani pemba.

Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa pili wa rais mh. Mohamed aboud mohamed akitowa taarifa kwa vyombo vya habari baada ya kutembelea maeneo yaliyoathirika na mvua ikiwemo kufariki dunia kwa mtoto wa miaka nane amesema juhudi zinachukuliwa kuhakikisha wananchi wanaishi katika maeneo salama.