SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUIMARISHA ULINZI KATIKA MAENEO YA HIFADHI

Wenyeviti wa kamati za uvuvi na baadhi ya wavuvi wa ghuba ya chwaka wameiomba serikali ya mapinduzi ya zanzibar kuimarisha ulinzi katika maeneo ya hifadhi kutokana na kuongezeka vitendo vya uvuvi haramu.