SHAMBULIO JENGINE LIMETOKEA KUSINI MWA KENYA KARIBU NA MPAKA WA SOMALIA NA KUWAUA KIASI YA WATU 9

Shambulio jengine limetokea Kusini mwa Kenya karibu na mpaka wa Somalia na kuwaua kiasi ya watu tisa.

eneo hilo katika kaunti ya Lamu limeshuhudia mashambulizi kadhaa yanayoaminiwa na kufanywa na kundi la Al Shabaab kutoka Somalia.

kundi hilo pia limeleshambulia  Majeshi ya kenya yenye vituo vyao katika eneo hilo  linalofanya kazi katika  Jeshi la Umoja wa Afrika.