SKULI BINAFISI KUJITUMA ZAIDI KATIKA UFUNDISHAJI

 

Mkurugenzi wa taasisi ya Elimu Zanzibar Suleiman Yahya Ame amezihimiza  skuli binafisi kujituma zaidi katika ufundishaji ili wanafunzi wanaosoma skuli hizo wapate elimu itakayowawezesha kuingia kwenye

Akizungumza na wamiliki wa skuli binafisi Suleiman amesema tatizo kubwa katika nchi yetu hivi sasa ni suala ajira na kufahamisha kuwa ukombozo wake ni elimu ya kutosha kwa vijana .

Hata hivyo amezipongeza skuli binafisi kwa kuisaidia serikali kubeba mzigo wa kufundisha na kulea na kusema serikali iliziruhusu kufanya hivyo kwa kufafamu kwamba zina umuhimu mkubwa wa kukuza ekta ya elimu hapa nchini.

Walimu wa skuli binafisi waliohudhuria mafunzo mariyam silima taifa na victorr tillya  wamesema wamerajuika na mafunzo hayo