SMZ KUKAMILISHA HATUA ZA MWISHO ZA UJENZI KWA MADARASA

 

 

serikali ya mapinduzi zanzibar kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya amali imeahidi kutimiza ahadi zake za kukamilisha hatua za mwisho za ujenzi kwa madarasa yote yanayojengwa kwa nguvu za wananchi ikiwa ni mkakati wa kuimarisha sekta ya elimu nchini.