SMZ KWENDA KATIKA KISIWA CHA UKARA WILAYANI UKEREWE KUWASILISHA MCHANGO

 

ujumbe wa pili wa mawaziri kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar uko katika kisiwa cha ukara wilayani ukerewe kuwasilisha mchango na salamu za rambirambi kufuatia ajali ya mv. nyerere iliyotokea alkhamis iliyopita.

pamoja na mambo mengine ujumbe huo umeenda kuungana na wenzao wa serikali ya jamhuri ya tanzania kufuatilia hatua inayoendelea ya kukinyanyua kivuko hicho.