SMZ YAKANUSHA KUWEPO KWA UANDIKISHWAJI KWA AJILI YA AJIRA NDANI YA VIKOSI VYA SMZ.

 

 

Idara   maalum  za  smz  zimekanusha  kuwepo  kwa  taarifa  zinazoenea  kuwepo  kwa  vijana  wanaoandikishwa  kwa  ajili  ya  ajira   ndani  ya  vikosi  vya  smz.

Akitoa  taarifa kwa vyombo  vya  habari   katika   makao  makuu   ya kikosi cha    zimamoto  na   uokozi kilimani , kamishna  wa  zimamoto  na  uokozi  zanzibar    ali  abdallah malimmus, amesema hakuna uandikishwaji  wa  vijana  kwa  ajili  ya  ajira kwa  sasa, mpaka pale  serikali  ya mapinduzi  zanzibar  itakapotangaza  ajira  hizo.

 

Badala yake   jeshi  la  kujenga   uchumi  jku  zanzibar  linaandikisha vijana  wa  kujitolea,   zoezi  ambalo  hufanyika  kila  mwaka  kwa  mujibu  wa  sheria.

Pause  kanal  mwinjuma .

Akizungumza  kwa  niaba   ya  vikosi  vyote  vya  smz mkuu  wa kikosi cha  valantia  kvz  luteni  kanal  mohammed  mwinjuma   kombo

Kikao  hicho  pia  kimehudhuriwa  na  mkuu  wa  kikosi  cha  kmkm komodoo  hassan  mussa  mzee,    mkuu  wa  kikosi cha jku   kanal  ali  mtumweni,      pamoja  na  mkuu  wa  chuo  cha  mafunzo   zanzibar kamishna  ali  abdallah  ali.