TAASISI YA TALBIYA HAJJ ITAENDELEA KUTOA ELIMU YA HIJJA KATIKA MAENEO MBALI MBALI

 

Taasisi ya  talbiya hajj zanzibar imesema itaendelea kutoa elimu ya hijja katika maeneo mbali mbali ya visiwa vya unguja na pemba ili   waislamu   wajue umuhimu wa ibada  hiyo.

Hayo yameelezwa na viongozi wa tasisi hiyo huko kinduni wilaya ya kaskazini b’ wakati wakitoa taaluma hiyo ya ibada ya hijja kwa vitendo.Na wananchi walioshiriki katika mafunzo hayo wamesema ni muhimu elimu hiyo ikandelea kutolewa kila mara kwani itasaidia  kuwapa ufahamu juu ya ibada hiyo.