TAMASHA LA 15 LA SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAR LIMEZINDULIWA MAENEO YA MJI MKONGWE

 

Tamasha la 15 la sauti za  busara  zanzibar limezinduliwa  leo   maeneo ya  mji mkongwe forodhani  huku  waafrika na wageni kutoka  kila pembe za dunia wakiunganishwa na  burudani za wasanii  mbalimbali  jukwaani   kwa  muda siku nne mfululizo.

Shamra  shamra hizo zilikuwa za aina yake  na kuwavutia wananchi mbalimbali waliojitokeza  kushuhudia tamasha hilo  lililopambwa na  fensi na michezo  mbalimbali  iliyoanzia  mnara wa kumbukumbu  michenzani na kumalizia  forodhani