TIBA MBADALA DAWA KWA WANGONJWA WA AKILI NA WALE WENYE MARADHI YA MSONGO WA MAWAZO

 

Wizara ya afya inakusudia kutoa tiba kwa wagonjwa kwa kutumia njia mbadala ya maneno bila ya kutumia dawa  kwa  wangonjwa wa akili na wale wenye maradhi ya msongo wa mawazo

Akifungua mafunzo ya siku tano yaliyowashirikisha watendaji wa  wizara ya afya  kuhusia na utoa wa huduma kwa kutumia nja ya maneno  mkurugenzi wa tiba dk  juma salum bwana amesema kuazishwa kwa huduma hiyo kutaimarisha huduma za wagonjwa wa akili   pamoja na  wale wenyemaradhi ya sonona  kwa kupata tiba kwa kutumia njia ya maneno

Amesema  zimbabwe ni miongoni mwa nchi zenye asimia kubwa ya idadi ya  watu wanaoishi na hali ngumu ya maisha na matatizo ya afya ya akili lakini  msongo wa mawazo na hiv lakini wamewaa kufaniwa kupunguza maradhi hayo kwa kutumia njia ya hiyo.

Mratibu wa hutuda ya afya akili kutoa shirika la hipz haji khalfani fatawi amesemai   wananchi wengi wa zanzibar  kuwa na maradhi ambayo mengine yanatoka na msongo wa mawazo hivyo kutolewa kwa mafunzo hayo kutaweza madaktari kutibu kwa kutumi saikologyia.

Mratibu wa hua za afya ya akili zanzibar suleiman abuu ali  huduma hizo itaweza kuiwasaidia watu wanaishi na virusi vya ukimwi  kwani nchi ya zimbabwe imeweza kufanikiwa katika utumia wa huduma hiyo.

Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa na shitika la hipz  na yamewashirikisha watendaji wa  wizara ya afya kutoka vituo mbali mbali.