TIMU YA BLACK SAILORS IMEAGA MASHINDANO YA FA

 

Timu ya black sailors imeaga mashindano ya fa cup baada ya kufungwa mabao 3-1 na malindi kwenye mchezo wa robo fainali uliochezwa kwenye uwanja wa amaan.