TIMU YA MICHROTECH IMETOKA NA USHINDI WA MABAO 4

Timu ya michrotech iliyovalia jezi rangi ya machungwa imetoka na ushindi wa mabao 4 kwa bila dhidi ya melisha waliotoka na mabao matatu kiwanjani hapo.
Mabao ya michrotech yamefungwa na mchezaji amour khamis katika dakika ya 5
Mchezaji zahor othmani katika dakika ya 15,na dakika ya 66.huku mabao ya melisha yakifungwa na mchezaji ali seif dakika ya 19 na mchezaji iddi idrissa katika dakika ya 23.