TIMU YA NYUKI WAMEFANIKIWA KUIBUKA NA USHINDI

 

 

Timu ya nyuki walio  valia  jezi  rangi  nyekundu wamefanikiwa  kuibuka na ushindi wa Vikapu 101-44 dhidi ya Usolo katika mchezo wa ligi ya Zanzibar kanda ya Unguja kwa upande wa mpira wa Kikapu uliopogwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Gymkhana.

Mapema saa 8 za mchana mabingwa watetezi timu ya Polisi wakafanikiwa kushinda vikapu 95-43.

Na kesho  itapingwa  michezo  miwili  mchezo  wa  mapema  Duma  watakwaana  na  new west  saa  8  mchana  na  mechi  ya  pili  itakayopingwa  saa  10   Muembe tanga  na  stone  town.