UCHAGUZI WA RAIS WAANZA RWANDA

https://youtu.be/DzGodha5VkY

Uchaguzi wa Rais waanza Rwanda

Wapiga kura karibu ya milioni saba wa rwanda wamepiga kura katika vituoni mbalimbali mchini humo kumchagua rais wao.

Rais kagame anashindana na wagombea wawili, ambao ni kiongozi wa chama cha walinzi wa mazingira, frank habineza, na mgombea wa kujitegemea, philippe mpayimana.

Rais kagame alichaguliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2000 kuwa Rais wa Rwanda.