UFARANSA YAPAMBANA NA MOTO WA MSITUNI

Hali isiyotarajiwa ya upepo, joto na kiangazi kikali kusini mashariki mwa ufaransa, vimechangia kuenea kwa kasi moto wa katika eneo hilo.
Wazima moto 600 wanakabiliana na moto huo a katika mbuga ya wanyama pori ya kitaifa iliyoko katika jimbo la luberon, ambao hadi sasa umeteketeza eneo la ukubwa wa kilomita 8 mraba.
Mamia ya watu wamehamishwa katika eneo hilo ili kuchukua tahadhari.