UFUNGUZI WA MAHAKAMA YA WATOTO

Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi dk. Ali mohamed shein bado tatizo la udhalilishaji wa wanawake na watoto kutokana na kukosekana uadilifu kwa baadhi ya watendaji wa taasisi za sheria na polisi.
Dk. Shein amesema hayo alipokuwa akifungua mahakama ya watoto mahonda mkoa wa kaskazini unguja ikiwa ni muendelezo wa maadhimisho ya siku ya sheria, Zanzibar.