UJIO WA UJUMBE WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU DUNIANI (FIFA.)

 

Waziri Wa Habari Utamaduni Sanaa Na Michezo.Dkt Harrison Mwakiembe amekutanana Waziri Wa Habari Utamaduni Utalii Na Michezo Zanzibar. Rashid Ali Juma kuzungumzia suala la ujio wa ujumbe wa shirikisho la mpira wa miguu duniani (fifa.)