UN YATOA DOLA BILIONI 4 KUKABILIANA NA NJAA

Katibu wa umoja wa mataifa antonio guterres, ameidhinisha kiasi cha dola billion nne na nusu kwa mashirika ya misaada ya kimataifa ili yaweze kukabiliana na janga la njaa.
Mapema wiki hii un imesema kuwa zaidi ya watu milioni 20 nchini sudan kusini, nigeria, somalia na yemen wanakabiliwa baa la njaa.
Guterres ametoa wito kwa mashirika na jamii za kimataifa kukabiliana na janga hilo la njaa.