UPINZANI WA SYRIA WAITUHUMU SERIKALI KUKWAMISHA MAZUNGUMZO

 

MUUNGANO WA UPINZANI WA SYRIA UNAOSHIRIKI KWENYE MAZUNGUMZO YA KUTAFUTA SULUHU MJINI GENEVA, WANAUTUHUMU UTAWALA WA DAMASCUS KWA KUJARIBU KUKWAMISHA MAZUNGUMZO YANAYOENDELEA.

KAMATI YA JUU YA MAJADILIANO YA UPINZANI, IMETOA KAULI HIYO BAADA YA MWAKILISHI WA SERIKALI BALOZI BASHAR AL-JAAFARI KUSEMA KUWA IKIWA MPINZANI YEYOTE HATALAANI SHAMBULIO LA KWENYE MJI WA HOMS, WATAWAHESABU KAMA MAGAIDI.

MJUMBE MAALUMU WA UMOJA WA MATAIFA, STAFFAN DE MISTURA ALIANZISHA MAZUNGUMZO MENGINE YA RAUNDI YA NNE MJINI GENEVA ALHAMISI YA WIKI ILIYOPITA, AMBAYO YAMEPIGA HATUA KIDOGO