UPUNGUFU WA MBEGU BORA ZIMEKUWA NI CHANGAMOTO

 

 

 

Wakulima nchini wanashindwa kuzalisha mazao mengi kutokana na upungufu wa mbegu bora ambazo zimekuwa nichangamoto kubwa na hivyo kushindwa kufikia malengo yao.