USHIRIKIANO BAINA YA TV YA TAIFA YA COMORO NA ZBC NI HATUA YA MSINGI KATIKA KUJENGA UHUSIANO

 

Ushirikiano baina ya tv na redio ya taifa ya comoro na shirika la utangazaji zanzibar zbc ni hatua ya msingi katika kujenga uhusiano wa kidugu pamoja na kubadilishana uzowefu wa utaalamu.